Tafuta katika Blogu Hii

Jumanne, 3 Desemba 2013

DEREVA PIKIPIKI WAUWAWA GOKEMANGE

Dereva wa pikipiki wameuwawa na watu wanaosadikiwa ni majambanzi kwa kuwafyaturia risasi zilizo sababisha vifo vyao watu hao wariuwawa maeneo ya gokemange usiku wa kuamkia jana watu hao  walio uwawa ni moromoro wa kijiji cha matongo wilaya ya Tarime na mwita mtundi wa kijiji cha nyamwaga matukio kama hayo yamekuwa yakitokea mara kwa mara na nilipo jaribu kuongea na mwenyekiti wa kijiji cha keisangora vipi wamejipanga vipi na urinzi  shilikishi alisema yeye na wanakijiji wake wameweka ulinzi wa kutosha kukabiliana na ujambazi huo hivyo miili ya vijana hao imehifadhiwa katika hospitari ya wilaya ya tarime  na mazishi yao yana tarajia kufanyika kesho na katika vijiji vyao pia jeshi la polisi lina fanya uchungu juu ya mauaji hayo habali zaidi na (MBARI PROTASI TOKA NYAMWAGA)

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

mwanga wetu maoni