Tumempoteza ndugu yetu Mtanzania Mwanajeshi kwa jina RAJABU AHMAD MLIMA katika Vita vya waasi huko Congo.
Alikuwa
katika Jitihada za kuwalinda wakazi wa mji wa Kiwanga nchini humo
pamoja na wanajeshi wengine wa Umoja wa Mataifa ....Mungu Ailaze mahali
pema Peponi
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni
mwanga wetu maoni