Balozi
Abraham Isaac Sepetu amefariki dunia mapema leo akiwa katika hospitali
ya TMJ alikokuwa amelazwa akitibiwa ugonjwa wa Kisukari na kiharusi
alioupata hivi karibuni mjini Zanzibar.
Balozi
Sepetu, ambaye pia ni baba mzazi wa Miss Tanzania 2006, Wema Isaac
Sepetu, hadi anapatwa na ugonjwa na hatimaye mauti, alikuwa Mwenyekiti
wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Uwekezaji wa Vitega Uchumi
Zanzibar.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni
mwanga wetu maoni