Tafuta katika Blogu Hii

Jumatatu, 28 Oktoba 2013

JAMAL MALINZI ASHINDA URAISI TFF


Habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba Jamal emil Malinzi amefanikiwa kushinda uchaguzi wa TFF kwa nafasi ya urais aliyokuwa anagombea dhidi ya Makamu wa zamani wa Rais wa TFF Athumani Nyamlani.
Jamal Malinzi ambaye pia ni mwenyekiti wa chama cha soka cha mkoa wa Kagera ameshinda uchaguzi huo ikiwa ni mara yake ya pili kugombea baada ya kushindwa na Rais wa zamani wa TFF Leodgar Chillah tenga mwaka 2008.(Habari na anthony dikodiko)

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

mwanga wetu maoni