Mimi
nilikuwa na mpenzi wangu kwa miaka 6 lakini hatujawah sex sababu yeye
alikuwa anakaa mkoa mwingne na akija dar kwa dada yake anabanwa sana
so tukawa hatuna muda wa kusex lakini tulikuwa na ndoto za kuoana na
alikuwa ananiambia yeye bikra, lakini mwezi wa 8 mwaka huu dada yake
akaniambia kuwa mdogo wangu ni malaya ana wanaume wengi hata cm uliyo
m2mia kahonga na bikra hamna, ikabidi nimbane dem wangu akakubari yote
akasema nisamehe nitaachana nao wotee nakupenda wewe, nikamsamehe
imepita week dada yake ananiambia leo tena amemuona na wanaume wake,
sasa mimi nikamuacha nikawa nawasiliana na dada yake sana kwakweli
mawasiliano yakanoga c tukajikuta tunapendana tukatongozana dada yake
anasema yeye bikra na anakuja dar mwez wa 12 lakini dada mtoto wa baaba
mkubwa na mdogo sasa tunapendana lakini mdogo wake amejua na wana bifu
NAOMBA USHAURI WENU NA MJAJI PIA.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni
mwanga wetu maoni