mwenga wetu
Malawi
ni moja ya nchi ambazo zina tatizo kubwa la ishu ya ndoa za utotoni,
tafiti zinaonyesha karibu nusu ya wasichana wa nchi hiyo wameolewa
wakiwa hawajatimiza miaka 18.
Kutokana
na kuendelea kwa tatizo hilo la ndoa za utotoni, Malawi wamepitisha
sheria mpya kuanzia sasa umri sahihi wa mtoto wa kike kuolewa ni kuanzia
miaka 18.
“Sheria hii itasaidia kulinda haki za watoto wetu wa kike.. Hawatakiwi kuozwa wakiwa kwenye umri wa kuwa shule..“– alisema Jessie Kabwila ambaye ni msemaji wa Chama cha Upinzani cha MCP.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni
mwanga wetu maoni