Wiki iliyopita lista ya wasanii wawili kutoka nje ya Tanzania
ilitangazwa, ambao ni Alaine (Jamaica) na Davido (Nigeria) ambae
alithibitisha kushuka na J Martines, sasa leo hii wasanii wawili zaidi
wamethibitishwa kushuka ikiwa ni
Mohombi ambae ametangazwa leo asubuhi pamoja na Iyanya kutoka Nigeria ambae ametangazwana hawa ndio wasanii wetu watakao-share stage moa na wasanii hao, Ommy Dimpoz, mwana FA na AY, Rich Mavoco, Makomando, Weusi, Lina, Shilole, Snura, Recho, Young Killer, Stamina, Country Boy, Godzilla, Cassim, Quick Rocka, Juma Nature, Ney wa mitego, Madee, Nikki Mbishi, Kala Jeremiah, Linex,
Chidi Benz, Shettah, H Baba, Samir, Darasa, Afande Sele, Baba Levo, Peter Msechu, Mabeste, Mirror, Menina, Walter, Nuhu, Cliff Mitindo, Blue, Young D, Dully, Amini, Christian Bella, TID, Kala Pina, Ney Lee, Fid Q, Ben Pol, Vanessa, Chege na Temba, Diamond na Gosby.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni
mwanga wetu maoni