Tafuta katika Blogu Hii

Ijumaa, 16 Mei 2014

Hii Nguo Aliyovaa Senator Mike Sonko Ya Washangaza Rais Uhuru Kenyatta Na Makamu Wake Ruto.

Senator Mike Sonko hivi karibuni ameweshangaza rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta na makamu wake Ruto kwa kuvalia vazi ambalo sio sahihi kwenye shughuli kama iliyokuwa ikiendelea na kuonekan tofauti na kila kiongozi aliyekuwepo eneo hilo.

Uhuru na Ruto walishindwa kabisa kuzuia mshangao wao na kuanza kuongelea vazi hilo huku wakicheka kama vile ni kituko kuwa kiongozi kama Sonko amevaa jean iliyochanika chanika huku juu akiwa amevalia suti na tai nzuri tu.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

mwanga wetu maoni