Pedeshee Maarufu ajulikanae kwa jina la Chief kiumbe ameibuka na kuzua jambo kuwa lile Prado
Diamond alilopiga nalo picha week kadhaa zilizopita na kusema ni gari yake mpya kuwa si ya Diamond bali ni Gari lake yeye..
Chief kiumbe Amesema haya hapa chini:
“Unajua
mimi huwa sio mtu wa kuzungumza sana ila ukweli ni kwamba wasanii wengi
wa hapa bongo wanatembelea magari yangu, na wala hawatoi hela
yoyote,kwa mfano Diamond anamiliki gari yangu mpya ambalo nilinunua
zaidi ya shilingi milioni 245 kipindi niko nje kiziara, nafanya hivi
kwasababu ya upendo na pia wapo wasanii wengi tu, kuna wengine
wanajitamba kwamba wamenunua ila sio kweli mimi ndio ninawapa bureee
watembele hizo habari za kwamba wananunua hakuna kitu kama hicho,mimi
napenda watu wafuate nyayo za Diamond naamini watafanikisha ndoto zao” – Kiumbe.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni
mwanga wetu maoni