Tafuta katika Blogu Hii

Ijumaa, 15 Novemba 2013

KOVA:MHE.KAPUYA HANA KOSA LA KUHOJIWA NI YAKE BINAFSI.

                                                 (Dikodiko.nyagale)
Akiongea na wanahabari leo mchana kamanda kova kasema hawawezi kumuita Mhe. Kapuya kasababu
haya ni mambo yake binafsi na hakuna mtu yeyote ambaye amekuja hapa polisi kulalamika kutendewa vibaya na Mhe. Kapuya.

"hata hivyo kamanda kova kasema kama kuna ushahidi wowote wa kueleweka sio kusingizia mtu vituo vya polisi viko wazi masaa 24"

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

mwanga wetu maoni