Tafuta katika Blogu Hii

Alhamisi, 24 Oktoba 2013

INAHUZUNISHA SANA NA INATIA HURUMA SANA NI UKATIRI WA KUTISHA.

Inatia huruma ina huzunisha sana mkazi mmoja wa mkoa wa Mara wilaya ya tarime kata ya nyansincha kijiji cha nyantira amejeruhiwa kwa kukatwa mguu wa kuria na mume wake akisimulia kisa hiki amedai mumewe alitoka matembezi majira ya saa 3:30 na mkugongea mrango ilipofungua mrango arianza kumpiga na kudai kwamba chanzo cha ugomvi ni muke wake kucherewa kufungua mrango dada huyo amerazwa Hosipitari ya wilaya ya tarime

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

mwanga wetu maoni